mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 608
Asante mkuu kwa ufafanuzi na ushauri wakoKias ina tegemea(kodi, volume ya vifaa unavyolenga kuanza navyo, uandaaji wa duka, n.k) ila naona kwa haraka milioni nne ni ndogo...
Umeanza kusema unataka kufungua kigamboni.. labda useme ww kama ww umeona nn kigamboni, ume target nn huko? y kigamboni?..
Changamoto huez zijua kutumia keyboard kutype, anza ndo utajua changamoto ni zipi ndio unaweza buni njia ya kutatua..
Kila la kheri mkuu
Sent from my Nexus 5 using JamiiForums mobile app