Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

Kias ina tegemea(kodi, volume ya vifaa unavyolenga kuanza navyo, uandaaji wa duka, n.k) ila naona kwa haraka milioni nne ni ndogo...

Umeanza kusema unataka kufungua kigamboni.. labda useme ww kama ww umeona nn kigamboni, ume target nn huko? y kigamboni?..

Changamoto huez zijua kutumia keyboard kutype, anza ndo utajua changamoto ni zipi ndio unaweza buni njia ya kutatua..

Kila la kheri mkuu



Sent from my Nexus 5 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa ufafanuzi na ushauri wako
 
Habari!!!?
Wakuu naomba uzoefu wenu, Mimi niko kanda ya ziwa nataka kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme na electronics japo maono yangu baadae mtaji ukiwa mkubwa niongeze na kuwa na duka LA vifaa vya ujenzi general.

Msaada wenu kwangu in kwenye haya maswali kwa wazoefu.
1. Je, biashara hii ikoje kwa upande wa return from the investment. Site yangu iko kama 12 km to mjini na hakuna duka la namna hiyo zaidi ya yale yanayochanganya bidhaa.

2. Ni wapi ambapo nitapata mzigo kwa being nafaa yenye faida!?

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1#.Return yako itategemeana na utashi wako Wa jinsi yakuwashika mafund Umeme wengi waje kununua bidhaa zako ,nakuacha kununua bidhaa kwenye duka lenye vitu vyote vya ujenz ,
Muonekano mzuri wa duka ambalo litakua lina mashiko ata Kwa wasio mafund kuamini kwamba bidhaa za Umeme unazo uza ni original na bei yako kujitofautsha na wengine hivyo , mambo mengine utajifunza ukishaa anza biashara..
2# bidhaa za bei ya chini zinapatikana karikoo madukaa ya vifaa vya Umeme jitahidi kufanya research kwenye maduka mengi kabla ya kununua mzigo ....I hope hautashindwa Kwa hilo #
 
Wadau,

Naomba kujua mwenye uzoefu wa biashara ya vifaa je vinalipa? Nataka kutoka kimaisha.Je mtaji wa sh ngapi unatosha kuanzia?

Mawazo yataisaidia kunijenga.

Karibuni
 
mwenye list ya vifaa vinavyohitajika na price zake aweke hapa.
Kwa kuanzia unahitaji

Twin wire 6mm
Twin wire 2.5mm
Twin wire 1.5mm
Flexible wire kubwa
Flexible wire ndogo
Earth wire 2.5
Earth wire 1.5
1g switch
2gang switch
3gang switch
Switch socket single
Switch socket double
Straight holder
Angle holder
Main switch
Circuit breaker
Condute blue
Condute nyeupe
Trunk kubwa
Trunk ndogo
Energy saver 11w, 18w, 40w, 75w
E/s za rangi
Elbow kubwa
Elbow ndogo
Surface box
Metal clips
Sedal clamp
S/tape

Na vingine hapa nimekumbuka hivi tu...
 
Kwa kuanzia unahitaji

Twin wire 6mm
Twin wire 2.5mm
Twin wire 1.5mm
Flexible wire kubwa
Flexible wire ndogo
Earth wire 2.5
Earth wire 1.5
1g switch
2gang switch
3gang switch
Switch socket single
Switch socket double
Straight holder
Angle holder
Main switch
Circuit breaker
Condute blue
Condute nyeupe
Trunk kubwa
Trunk ndogo
Energy saver 11w, 18w, 40w, 75w
E/s za rangi
Elbow kubwa
Elbow ndogo
Surface box
Metal clips
Sedal clamp
S/tape

Na vingine hapa nimekumbuka hivi tu...
Naongezea na hvi ;- ,earthroad, junction box ,square box chuma,circuit braker Kwa pamoja umewasha Umeme ...vinginevyo unatakiwa uwe navyo dukan n ...testa,cutplz,pliz, extension cable,fiuz ,top plug,Multpug,taa za tred,pass za Umeme,a.v.g cable, vingine utasikiliza wateja wanavyoulizia Mara Kwa Mara ..**start small aim high**
 
KARIKOO
N.B sio kila duka lna bei sawa ya hivi vitu kwingne n pungufu na kwngne n kubwa zaid

6mm euro 355,000/=
2.5 mm euro 155000/=
1.5 mm euro 108000/=
Flexible wire kubwa 24000/=
Earthwire 2.5 euro 56000/=
1gswtch rsuk 90000/=
2g switch rsuk 140000/=
Switch socket single tronic 10pcs 44000/=
Switch socket dauble tronic@5500==
Holder hippo,Liper,Volta @850/=
Main switch rsuk,klik,eurotrx 4way 17500@,
Main switch tronic 4way @55000/=
Circuit breaker @12000/=
Conduit pipe blue @600/=
Elbow ndogo @150\=
Surface box,junction,roundbox @350|=
Metalclps @300|=
Solution tape @550/=
 
KARIKOO
N.B sio kila duka lna bei sawa ya hivi vitu kwingne n pungufu na kwngne n kubwa zaid

6mm euro 355,000/=
2.5 mm euro 155000/=
1.5 mm euro 108000/=
Flexible wire kubwa 24000/=
Earthwire 2.5 euro 56000/=
1gswtch rsuk 90000/=
2g switch rsuk 140000/=
Switch socket single tronic 10pcs 44000/=
Switch socket dauble tronic@5500==
Holder hippo,Liper,Volta @850/=
Main switch rsuk,klik,eurotrx 4way 17500@,
Main switch tronic 4way @55000/=
Circuit breaker @12000/=
Conduit pipe blue @600/=
Elbow ndogo @150\=
Surface box,junction,roundbox @350|=
Metalclps @300|=
Solution tape @550/=
Umetumia muda wako kuandika mambo ya muhimu bila malipo, umeamua kumsaidia mtu usiyemfahamu. Wengi watafaidika na huu mchango wako, Mungu akulipe muda wako.
 
Back
Top Bottom