Arabian Eagle
Member
- Oct 1, 2018
- 71
- 46
Habar zenu wadau.
Leo niko na hoja kwa wale wanaotumia Startimes antenna
Miaka ya nyuma kulikuwa na zile code unapata channels za bure kama mbcbollwood mbc colorstv n.k
Je siku hizi mnazipata?? Au wameweka pini?
Kama yuko mdau anazifahamu na anapata anijuze tafadhali... maeneo ya dodoma Dar es salaam na kwingineko.