Msaada kuhama kambi ya JKT

Msaada kuhama kambi ya JKT

Status
Not open for further replies.

the galaxy a

Senior Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
183
Reaction score
110
Habarini wakubwa,kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu najua kuna watu tofauti humu ndani wanaweza kutoa msaada, nina mdogo wangu ambaye nilimpambania aingie JKT na sasa anakaribia kumaliza mkataba wake na hitaji lake kuu ni kuhamia kambi ya JKT makutopora ambayo ina chuo cha ufundi ili aweze kusomea ujuzi wowote pale,ila changamoto ni jinsi gani ataweza kuhama na hatuna wa kumshika mkono na kumpambania aweze kuhama,Naomba msaada kwa mwenye uwezo wa kumsaidia aweze kwenda makutupora jkt apate mafunzo ya veta ,natanguliza shukurani.
 
Sidhani kama inawezekana
 
Nenda kamuombe mkuu wa kambi,sisi humu JF hatuna kambi ya JKT.
 
Habarini wakubwa,kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu najua kuna watu tofauti humu ndani wanaweza kutoa msaada, nina mdogo wangu ambaye nilimpambania aingie JKT na sasa anakaribia kumaliza mkataba wake na hitaji lake kuu ni kuhamia kambi ya JKT makutopora ambayo ina chuo cha ufundi ili aweze kusomea ujuzi wowote pale,ila changamoto ni jinsi gani ataweza kuhama na hatuna wa kumshika mkono na kumpambania aweze kuhama,Naomba msaada kwa mwenye uwezo wa kumsaidia aweze kwenda makutupora jkt apate mafunzo ya veta ,natanguliza shukurani.
Service man hana kikosi mzee ,mwambie dogo ajikate bogi siku wakipewa pasi ( daypass ) abebe vilivyo vyake akaripoti Makutu.
Atapokelewa fresh ila doso kiasi litamhusu pengine na mahabus ya siku kazaa paredi inaisha.
Michezo tuliicheza sana hio na mwanangu Pastor Ben mjukuu wa Minde.NB KITAMBULISHO MUHIMU
 
Soldier hachagui mazingira. Kama ni ufundi angebaki mtaani kuusomea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom