mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Kwa yeyote anayeweza toa msaada wa kudonlooad Rock star game free kama GTA 5, 4 anisaidie
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Asante mkuu ngoja nifanye hivyoNenda ktk kickass.to click game then andika hizo game unazotaka ktk such tab itakuletea torrents then download hiyo torrent, add to bittorrent for downloading process
Requirement iko poa tatizo kuzidownload.. GTA V nafikiri ipo kwenye PC. Thanks kwa ushauri mkuuila kabla hujajisumbua angalia specs za mashine yako na minimum requirements za hayo magame maana mashine zisizo na nguvu haziwezi kucheza hayo magame. na kuhusu gta v sidhan kama lipo kwenye pc
Requirement iko poa tatizo kuzidownload.. GTA V nafikiri ipo kwenye PC. Thanks kwa ushauri mkuu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Gta5 kwa pc bado haijatokaRequirement iko poa tatizo kuzidownload.. GTA V nafikiri ipo kwenye PC. Thanks kwa ushauri mkuu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums