Kubadili taarifa gani?Habari wakuu,naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika…
Nawasilisha,Asante
Sijajua kama taarifa za kweli ama laa nadhani itakupa mwanga kama taarifa zitakua za kweliHabari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.
Vp kuhusu vingerprint kuingiliana mkuu?naombq muongozoSijajua kama taarifa za kweli ama laa nadhani itakupa mwanga kama taarifa zitakua za kweli
Taarifa ya hovyo kabisa hii. Bhasi ni kitu gani?Sijajua kama taarifa za kweli ama laa nadhani itakupa mwanga kama taarifa zitakua za kweli
Mkuu mfate muandikaji umuulize mie sio nloandika hapoTaarifa ya hovyo kabisa hii. Bhasi ni kitu gani?
Mie sio muhusika ifate hio id kwa maelekezo (maelezo) zaidiVp kuhusu vingerprint kuingiliana mkuu?naombq muongozo
Mimi ni mhanga wa hilo suala, na nashukuru mwaka jana mwanzoni nilifanikiwa kulisolve.Habari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.
Ikiwa na ID Card walikupaga nayo wanakubadilishia au wanadili na Majina tu kwenye system?Mimi ni mhanga wa hilo suala, na nashukuru mwaka jana mwanzoni nilifanikiwa kulisolve.
Mimi binafsi Nilifanya hatua zifuatazo.
(1) Deadpool: unaenda kwa mwanasheria yeyote anakutengenezea hiyo document, ina copy 3. Garama ilikuwa 10,000/= inategemea na mwanasheria wako.
(2) unaipeleka Deadpool ofisi za ardhi, kwa dsm unaweza peleka wizara ya ardhi kule posta. Garama 32,000/= (hii process inachukua karbia week)
(3) utaoewa copy 2 kutoka ofice za ardhi, copy moja utaituma kwenda gazeti la taifa kwa EMS, kutuma ni 15,000/=. Kama upo Dodoma unaweza peleka mwenyewe..
(4) tangazo lako likitoka kwa gazeti, inategemea na muda kwa maana hilo gazeti huea linatoka mara moja kwa mwezi. Utachukua copy ya gazeti, copy ya Deadpool iliyobak, na vyeti vyako vyote then utapeleka office za NIDA ulipojiandikisha then utalipia 20,000/= huko.
Than kazi imeisha. Unasubir kama week kadhaa wanakubadilishia
Procedure ni kama kawaidaIkiwa na ID Card walikupaga nayo wanakubadilishia au wanadili na Majina tu kwenye system?
Taarifa ipi ?? Maana taratibu hutegemeana na aina ya taarifa unayotaka kubadili.Habari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.