MANVOICEhd
New Member
- Feb 1, 2026
- 4
- 2
Mfumo wa NaPA na NIDA imekuwa ikileta changamoto, hapo kabla ulikuwa ukijaza Namba ya NIDA ya mtu kwenye usasishaji wa taarifa za mkazi inaleta taarifa zake, ukianza na majina yake matatu na jinsia sasa hivi imekuwa tofauti namba ya NIDA haitoi maelezo yoyote tunaomba mfumo huu muhimu wa anwani za makazi uboreshwe kwenye hilo.