ni mradi mzuri sana ila lazima uwe na target nzuri ili kupata wateja kwani watu wanasema kuwa wanajua computer siku hizi kumbe sio hivyo wakipewa mtihani wanabugi sana kwani ni muhimu sana
lazima wakuregiste veta kwanza au unaweza kuaaanza alafu wakuja kukutembelea kuona mazingira kwanza.