Msaada: Ku upload file la powerpoint JF

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wadau vipi nitaweza ku upload file la power point hapa JF, naomba utaalamu wenu..

Natanguliza shukrani
 
li zip then upload.

Kuzip file inabidi uwe na winrar right cick file then utaona option ya kuadd file in archive
 
mkuu hebu nisaidie zaidi baada ya kuZip file nikitaka nilitume kwenda JF km post nitafanyaje? ili litokee.
Pili km ni wmv inayoPlay naituma katika nini maana natumia Manager attachment zinagoma napotuma km GIF inafika JF km PNG NISAIDIE
 
Wadau vipi nitaweza ku upload file la power point hapa JF, naomba utaalamu wenu..

Natanguliza shukrani

zip kwanza . kama unatumia windows right click kwenye desktop kisha chagua new > zip archive. baada ya hapo drag n drop ilo file la powerpoint kwenye zip archive yako na tayari unaweza ku upload
 
mkuu hebu nisaidie zaidi baada ya kuZip file nikitaka nilitume kwenda JF km post nitafanyaje? ili litokee.
Pili km ni wmv inayoPlay naituma katika nini maana natumia Manager attachment zinagoma napotuma km GIF inafika JF km PNG NISAIDIE

kuna kitufe cha insert image na cha attachment kiko juu kabisa ......unatakiwa u click cha attachment ni very simple
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom