Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 493
Uko sehemu gani, kama upo dar nicheki inboxKama kichwa cha habri kinavyojieleza kwa yeyeto mwenye utaalamu huo naomba anielekez nahitaji ku upgrade simu aina hiyo
Mkuu hiyo link iko wapiUsije Ukatobolewa Pesa Yako Nyingi na wadau Humu ..
Fuata Hii link Jiunge na Hili Group la Whatssapp ..Linaitwa Adroid Experence. Ukifika Kumbusha Swali lako na Utasaidiwa Effectively.
Thanks kwa ushauri nitaufanyia kaziandroid 4.2 bado ndogo weka 4.4.2
attach link pleaseUsije Ukatobolewa Pesa Yako Nyingi na wadau Humu ..
Fuata Hii link Jiunge na Hili Group la Whatssapp ..Linaitwa Adroid Experence. Ukifika Kumbusha Swali lako na Utasaidiwa Effectively.
Note two yako ni model ipi?Kama kichwa cha habri kinavyojieleza kwa yeyeto mwenye utaalamu huo naomba anielekez nahitaji ku upgrade simu aina hiyo
Upadates
Ni kutoka 4.1.2 kwenda 4.4.2
Mkuu nimeweka screenshoot hapo juuNote two yako ni model ipi?
Download firmware: N7105XXUFNJ1_N7105OLBFNJ1_MM1
Hiyo link iko wap mkuu!!!Usije Ukatobolewa Pesa Yako Nyingi na wadau Humu ..
Fuata Hii link Jiunge na Hili Group la Whatssapp ..Linaitwa Adroid Experence. Ukifika Kumbusha Swali lako na Utasaidiwa Effectively.
Tumia laptop mkuuu tena uwe na idm ndo vizurMkuu kwnye kudownload nik click inaanza kudownload but inabakia kuwa salimia sifur haiongezeki kuonyesha inendelea kudownload
Daaaah sina laptop na hata ujanja wa kutumia sana laptop sinao sio mbaya sana kama upo dar naweza kukutafuta ukanisaidiaTumia laptop mkuuu tena uwe na idm ndo vizur
Sasa hyo kaz bila laptop hufanyi...Daaaah sina laptop na hata ujanja wa kutumia sana laptop sinao sio mbaya sana kama upo dar naweza kukutafuta ukanisaidia
Laptop naweza kuazima kwa mtu haina shida sanaSasa hyo kaz bila laptop hufanyi...