Umetisha mzazi! Ahsante sana:second::second:Finally Huawei E173 za Airtel zinaweza kuwa unlocked, Njia ni kama ya E153 Aliyoweka e2themiza sema kuna changes kidogo. Njia yenyewe ni hii hapa:
TAFADHALI SOMA POST YOTE NA UELEWE KABLA HUJAANZA PROCESS NA KUWA MAKINI SANA KWANI UKIKOSEA KIDOGO TU UNAWEZA UWA MODEM YAKO.
Download na Extract File nililoambatanisha na post hii. Anza ku install QPST.2.7.378. Ikimaliza usiifungue.
![]()
Then Chomeka modem yako, weka line ambayo haikubaliki ktk hiyo modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit hiyo dashboard hakikisha unaifunga kabisa.
Sasa nenda Device Manager> Ports locate modem yako kisha soma COM port yake
![]()
Sasa search ile software ulio install QPST na fungua QPST configuration
Start Menu > Programs> QPST
![]()
Then click add new port, ile ulio iiangalia katika device manager
![]()
Uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.
![]()
Kama umechagua port sahihi then lazima utona imeandikwa hivi
![]()
Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download
![]()
Sasa uhai wa modem yako unategemea hii stage tafadhali kuwa makini sana. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup. Kumbuka kuhakikisha imemaliza salama na Backup yako (.qcn) ipo ktk location uliyochagua kabla ya kuendelea na stage zinazofuata. Kufikia hapa awamu ya kwanza itakuwa imeisha, Chakufanya ifunge kabisa QPST kabla ya kuendelea.
![]()
Sasa connect Computer yako Internet kwa kutumia simu au modem ambayo sio Huawei, hata kwa njia nyingine kama ipo.
Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa 3G PC UI interface
![]()
Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modem information na itasema OK ikimaliza, kama itaandika FAIL ujue una tatizo katika Internet au modem yako haijaunganishwa vizuri au modem inatumika na sehemu nyingine.
![]()
Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE. Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B416" Then itaonyesha kama ifuatavyo
![]()
Uncheck 05.bin kama hivi
![]()
Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" , Subiri kidogo then kuna kibox kitatokea just click OK, Baada ya modem kuingia katika Download mode (yani subiri km sekunde 10 hivi ndo U click OK otherwise Itakupa msg yakuwa ime FAIL).
![]()
Sasa subiria wakati firmware mpya ikiwekwa katika modem yako
![]()
Kumbuka lazima utapata error katika 07.bin, Hiyo ni kawaida wala usiogope. Subiri kidogo then itakuwa imemaliza, close hiyo Huawei Modem Flasher
![]()
Sasa chomoa na chomeka modem yako. Utaona haina uwezo wa kukamata tena network kwa sababu imepoteza IMEI so inabidi tufanye restore. Kufanya restore Rudia zile step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration then add com port, Halafu tunaenda software download, lakini badala ya ku click backup tab, click restore tab.
Then click browse na chagua backup file tulilotengeneza mwanzo. Then click Start na acha i restore, Baada ya muda mfupi itakuwa imemaliza.
![]()
Ikimaliza unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako. Kama utakuwa umefuata step zote kwa umakini modem yako E173 itakuwa Permanently Unlocked na unaweza tumia mtandao wowote sasa. Kumbuka IMEI imerudi ile ile kama mwanzo.
Ukifanikiwa usisite kutoa Feedback na pia kama utapata shida yoyote ile sema.
Note:
Njia ni salama kabisa nimesha unlock modem zaidi ya tatu na zinapiga mzigo kama kawaida. Kumbuka kuwa makini kwani unaweza uwa modem yako moja kwa moja.
Mimi sitahusika na uharibifu au tatizo lolote litakalojitokeza Just Risk Yourself.
swafi sana kijana pia shukrani za pekee ziende kwa e2themiza
nimejaribu hiyo kitu imekwenda vizuri but nilipofika hatua ya kuflash kwa normal mode ikagoma kwa kuleta error 01.bin so nikajaribu kwa "resume mode" ndo ikakubali .
Challenge nyingine iipo kwenye kurestore maana usipokuwa makini utashindwa.....
Kwasasa modem inatwanga kote kote
Nenda hapa https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ally-huawei-e173-airtel-unlocked-flashed.htmllete machanganua hatua kwa hatua how ...? mi ninayo nimeshindwa
Thanx Mkuu Kwa kuleta Feedback nzuri. Hope hizo changamoto zitawasaidia na wengine.
Pamoja sana mkuu, asante kwa kuleta Feedback.mkuu asante sana kwa huu UZI sababu kama uki-review nyuma nimekuwa m2 wakuomba misaada kadhaa lkn nahisi kuna ki2 kilikuwa kina lack katk PC yangu baada ya kujaribia kwa pc ya mchizi nimeigonga chini y TIGO ,,,kwa ku-rate hii ki2 mmm baada ya ku-back up, modem iligoma kusoma mtandao hata baada ya kuchomoa na kuchomeka,,, lkn nilipoiamisha kwa pc nyingine ki2 ikasoma
I see Ubarikiwe ...Wkizindua modem nyingine ngumu ka hii usisite ku2-upgrade MKUU
Venant Ben Sorry kwa kuchelewa kujibu, Tatizo lako cjajua linasababishwa na nini lakini unaweza jaribi hii hapa QPST_2.7_366.zip ikigoma jaribu ku run ktk Xp compatibility mode.
adata hapo umesema k2 cha maana hlo folder ni lp!?Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE. Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B 416" Then itaonyesha kama ifuatavyo
Uncheck 05.bin kama hivi
hapo nimechemka kulipata hilo folder msaada jamani nalipatia wapi baada select fimware hilo nalisearch wapi