wakubwa naweza pata wapi hayo maelezo ya namna ya kuunlock huawei e153..........msaada plz.
mapunda b vp umefanikisha?
check vizuri kaka au jaribu kwa pc nyinginenisaidieni hapo jani kw nn inasema NO PPHONE com port nimebadilisha lkn wap?
yap nmejaribu kudownload huawei e153 nmefanikiwa but tatzo kwenye kuinstall QPST.2.7.378 ndo ikifika mwishon inakataa kabsa yan sasa ata sijui nafanyaje wakubwa......na nmeistall vcredist_x86 but ndo vile yan naomben mnisaide....
:yo:mr kicheko asante xan....nimeshafanikiwa kuunlock modem yangu......yan jan nliangaika nayo sana.....ila ndo speed yake naon kam imepungua yan iv amna namn ya kuboost ili iwe poa zaid mkubwa..........
Owkey thanx mkubwa ngoja nfanye ivyo af ntakupa feedback but vp hii activity c haitaitaj enternet access au....???Jaribu kuupdate dashboard. 1. download attachment hapo chini na kuextract 2.fungua universal master code, select huawei na kuingiza imei then click calculate kama inavyoonyesha screen shoot View attachment 85031 Chukua hizo unlock code na flash code andika pembeni. 3.Chomeka modem yako subiri idetect then install hiyo UTPS16.001.05.00.45_MAC15.001.08.01.45 kama itakuomba password ingiza zile flash code then endelea na kama isipoomba siyo neno.(muhimu hakikisha laptop ipo kwenye moto na usirun program yoyoyte mpaka process iishe)
Unafanya bila net kaka!!Owkey thanx mkubwa ngoja nfanye ivyo af ntakupa feedback but vp hii activity c haitaitaj enternet access au....???
Unafanya bila net kaka!!
hata mimi hiyo ilinitokea ktk win 8 so jaribu kuinstall net framework 3.4 then endelea na zoezi pale ulipoishiamimi mkuu natumia windows 8 qpst tool iliyo attached iligoma kwangu sasa nimefanikisha qpst tool kwenye thread ya e2themiza kuna mtu aliweka ya windows 8 kwa hiyo lile tatizo nililo present la no phone limekwisha hatua inayofuata ya modem flasher inanambia cant connect to server bye bye nanio connected kwenye net sasa siui tatizo ni nn?
hata mimi hiyo ilinitokea ktk win 8 so jaribu kuinstall net framework 3.4 then endelea na zoezi pale ulipoishia
mkuu hiyo mbona haipatikani sasa naona 3.5 tu,,,ka vp nisaidie link