• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

GSM Tanzania Free Zone

2991

2991

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2017
Messages
619
Points
1,000
2991

2991

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2017
619 1,000
Habari za muda na siku JF members? Hopefully mko vema na harakati zinaendelea.

Nilishawahi kuwa na threads kadhaa hapa jukwaani ambapo threads zangu zililenga kwenye mobile software fix, tips, tricks and solutions. Kuna ambao tulikuwa pamoja lakini pia kulikuwa na waliowahi nikosoa eti kwanini natoa those stuffs for free wakidai kwamba naua GSM market.

Kwa mida mrefu sana tulisimama lakini tulikuwa tunashughulikia something big ambapo kwa sasa tumefanikisha atleast 30% ila bado tunaendelea na mchakato.

Leo naomba nilete kwenu rasmi our online GSM community ambapo users watapata full access to all GSM solutions for totally free. Hapa tuna firmwares for all brands for free, Samsung combinations, Samsung convert firmwares, Samsung free and working certificates, Huawei board softwares, Mediatek da and db files, Nv data files, Samsung efs, modems, QCN, Samsung root files for latest models, Samsung eng efs/modems, Mediatek and spreadtrum sim unlocked firmwares, Android apks, GSM tools/flashers/softwares, FRP solutions.

70% ya contents ambazo tunatoa for free ni paid/exclusive from other sources but tumeamua kutoa for free ili kusaidia wenye uhitaji.

Unaweza kubrowse our forum as guest yaani bila registration lakini hutokuwa na full access, baada ya kuwa registered member utakuwa na uwezo wa kudownload chochote, kushare chochote, like post, comment on posts, ku request anything related to GSM industry.

Registration ni totally free kwa sababu hatuna premium/paid membership like other sites/forums. Registered user has unlimited downloads.

Tumespend mida kucreate this community na kutoa everyrhing for free, tumia hata dakika zako 5 kubrowse the forum kisha tuambie.

How the forum looks?
Ungependa tuongeze nini?
Kipi hakiko sawa?
Kipi tutoe?

Ahsanteni sana na karibuni.
Br. GSM Tanzania Team
 
McMahoon

McMahoon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
1,192
Points
2,000
McMahoon

McMahoon

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
1,192 2,000
Safi sana. Kazi nzuri
Tupo pamoja
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,935
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,935 2,000
Kazi nzuri Bwana Haji .... Tuko pamoja nimejisajili lkn imeshindikana kupokea verification..
 
SECRET AGENT

SECRET AGENT

Senior Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
105
Points
225
SECRET AGENT

SECRET AGENT

Senior Member
Joined Jan 4, 2019
105 225
Kazi nzuri mkuu, ni forum ambayo ikitangazwa ikawafikia watanzania wengi itakua msaada mkubwa Sana, keep it up na pia Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kusonga mbele
 
2991

2991

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2017
Messages
619
Points
1,000
2991

2991

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2017
619 1,000
Tutasonga mbele Inshaallah
Kazi nzuri mkuu, ni forum ambayo ikitangazwa ikawafikia watanzania wengi itakua msaada mkubwa Sana, keep it up na pia Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kusonga mbele
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,935
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,935 2,000
Nachoomba tuitangaze hii forum ni nzuri sana kwa technology
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,783
Points
2,000
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,783 2,000
...wasiojulikana wana mbunu, oooh sorry mbuni, shit! Mbinu nyingi sana...
Baada ya max kukataa kutoa detail,gia imebadilishwa...
 

Forum statistics

Threads 1,404,257
Members 531,540
Posts 34,448,875
Top