Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

hivi mods wameunganisha hii thread au ni vipi? nimetafuta attachment ya gkiwango lakini siioni.. lile folder kuna hiki kipande sina "E1731Update_11.126.15.00.00.B 416" . mwene nacho anisaidie.. @Mwl.RCT

Almost Everything in this thread may not be useful sababu tool ya Huawei Flasher ilotumika hapa haiko functional tena
Hivo basi nenda Google tafuta hiyo Firmware ya E173 na kisha pakua Huawei Flasher 1.6 na itumie hiyo ku unlock modem

Jinsi ya kutumia hii Huawei flasher 1.6 tafuta thread ya wickerman "Jinsi ya ku unlock huawei E303 za Vodacom"
Hii tool inaitaji similar procedure kama za hapo

All the best
 
Last edited by a moderator:

nimefanikiwa mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Mi nataka ku unlock huawei E303 msaada ?
E303 zipo categories nyingi na kila moja ina style yake

E303s-1 tafuta thread humu Jf ya Kimox Kimokole
E303s-1 Hi link(Inafungukia kwa browser) Tafuta Google docs ya gkiwango humu JF
E303h-1 MPya za Tigo ina trick yake ya Mwalimu RCT
E303h-1 Hi link modem za Airtel za karibuni pia na hii haina ujanja mpaka sasa

Je,yako ni ipi labda tukusaidie ku locate hizo thread
 
Ahsante bro , mimi nina HILINK ya vodacom E303 huawei
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nahtaji firmware ya Huawe e173 , attachment za g Kiwango nshndwa kuzipata maana uzi wake siuono kila nikitafuta
 
Hii Huawei Modem Flasher unaipata wapi au unaweza kuidownload wapi naona hapo ndio kitendawili kwangu

Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa "3G PC UI interface"
Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modem information na itasema OK ikimaliza, kama itaandika FAIL r
S

[/QUOTE]
 
Zile thread za Gkiwango naona zilifutwa yakupasa kutumia Google sasa

by the way bado kuna watu wanatumia hizi modem🙂,just asking?
 
Zile thread za Gkiwango naona zilifutwa yakupasa kutumia Google sasa

by the way bado kuna watu wanatumia hizi modem🙂,just asking?
Watu wanatumia mkuu..
Na njia za ku unlock n mtihani
Tumia Core i3-7 labda...au PC yenye RAM kuanzia 4GB
Mm nikitumia kwenye PC ya 2GB RAM inter inside processor ina stuck hivo lkn nikiiweka kwenye core i7 8GB RAM inaenda smoothly
 
mimi mkuu natumia windows 8 qpst tool iliyo attached iligoma kwangu sasa nimefanikisha qpst tool kwenye thread ya e2themiza kuna mtu aliweka ya windows 8 kwa hiyo lile tatizo nililo present la NO PHONE Limekwisha hatua inayofuata ya MODEM FLASHER Inanambia CANT CONNECT TO SERVER BYE BYE Nanio connected kwenye net sasa siui tatizo ni nn?
mkuu we ilikubali vipi maana mm najaribu inasema no phone natumia windows 7 na net kwenye computer ipo
 
Baada ya kuhangaika kimtindo,nimpata soln ya hii error niliyokua naipata wakati na install QPST.2.7.378,soln ni kudownload hiki kitu vcredist_x86,
link vcredist_x86.exe
nilipo install hiyo kitu (vcredist_x86,) ndipo nikaweza kuinstall QPST.2.7.378 bila error yoyote,
na nimefanikiwa kuflash na now inapiga kazi fresh,shukran kwa gkiwango na pia challenge nilizo kutuana nazo ni kama
wakati nafanya back up file langu nilisave kama vvv.qcn lakini wakati najaribu ku restore nikawa nikilocate ile back up yangu (vvv.qcn),ikawa inafail ku restore mpaka nilipodadilisha jina la back up yangu kutoka vvv.qcn to DEADD00D_0.qcn kama alivyosave gkiwango ktk picha zake,ndipo ikawa inakubali(sijui kama ni lazima kusave jina hilo,ila kwangu ilikataa mpaka nilipobadilisha jina) ndo ikakubali,challenge nyingine ni pale nilipoanza kurestore imei katika ile hatua ya mwisho ikawa inaenda mpaka 40% then dashboard ya huawei ikawa inafunguka,then ikawa ina fail kurestore mpaka nilipofuta baadhi ya support files ya dashboard yangu(niliogopa ku unstall dashboard yote kwa kuhofia inaweza futa na drivers) nikafanikiwa kurestore mpaka 100% bila kupata error yoyote kwakuwa dashboard ya huawei haikufunguka tena wakati na restore imei.now moderm inapiga kazi fresh,
big UP to gkiwango
nawasilisha.
hii vcredist x86.exe ina siri gani aisee,kuna program ilizingua sana kuinstall kwa pc nikaweka iyo ndo ikakubali,
 
Back
Top Bottom