ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,993
Nataka kuinstall hii printer (EPSON LQ-300+) kwenye computer yangu lakini bahati mbaya mtu niliyemuagiza amesahau CD zake na kila nikitaka kuistall inaniambia niweke hizo CD, kwa anayejua jinsi ya kupata hizo software kwenye internet anijuze wandugu, mi sio mtaalam sana..