Msaada kozi anayoweza kusoma mtu aliyeishia darasa la saba

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
19,956
25,181
Wapendwa katika bwana naomba kusaidiwa mtoto wa kike aliyeishia darasa la saba asomee ujuzi gani angalau awe na cha kufanya katika zama hizi? Nimeombwa ushauri toka huku kijijini kwetu. Me nimesema mambo ya saloon za kike.

Sasa nimeona niwashirikishe mama, dada, baba na kaka zangu humu. Na kama veta kuna kufunzwa hiyo ujuzi.

Mawazo yenu tafadhari, mbarikiwe sana.
 
Mpeleke veta akanolewe vizuri akitudi mtaani atakua anajua cha kufanya.
 
Wapendwa katika bwana naomba kusaidiwa mtoto wa kike aliyeishia darasa la saba asomee ujuzi gani angalau awe na cha kufanya katika zama hizi? Nimeombwa ushauri toka huku kijijini kwetu. Me nimesema mambo ya saloon za kike.

Sasa nimeona niwashirikishe mama, dada, baba na kaka zangu humu. Na kama veta kuna kufunzwa hiyo ujuzi.

Mawazo yenu tafadhari, mbarikiwe sana.
Mpeleke veta huyo akosome
Saloon,ufundi Bomba au kushona
 
Back
Top Bottom