Nkanga Nimeongea nae Na nimemuuliza yote.Maelezo yake bado no hayo hayo kuwa jamaa aliyeokota simu na kumpigia Mara kwa Mara Na ni tofauti na X wake.
Ila kilichonishangaza zaid nilipomwuliza kama X wake anajua yuko posted,akanijibu kuwa anajua na alipompa jamaa habari,akamjibu kifupi tu kuwa angemkubali warudiane yasingefika huko!
Na kwa hilo jibu na kwa akili yangu ndogo I see vivid na X yuko behind this Na labda ndo wanashirikiana Na jamaa kukomoa.
Duh!kwa hiyo ishu now no kuvunga tu jamaa afanye mambo yake?
Bwana Mwigulu..kwa kosa la kututukana wana JF.ila akimaliza tutamuomba a-upload ile video ya mwenzie akim-masogange mtu,inayosemekana anayo!
KikwEte midium engLISh shool. Daudi amenigwa na Goliati akajikuta amechanganya mchanganyiko wa visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika.
Nkanaga,kuna sheria yeyote inayohusika na hii mambow?
nilikuwa najiuliza hili swali wa kichwa changu......
ili iweje?
hizi nyingine tunapiga ili tushee na wengine, sasa hizo za sirini watu wanapiga ili iweje? ukweli sielewi
HA HAAAA..... yaani hapo black nimecheka mpaka naonekana mwehu.......lol!Unapiga ili ujione mama, hivi unajua kuna maeneo japo yapo mwilini mwako huwezi ukayaona kirahisi rahisi hata kwa kutumia kioo cha kujitazama mpaka uipeleke kamera tu? Kosa alilolifanya ni kuendelea kuzi-save. Kwa mfano imenichukua miaka mingi sana kupaona chini ya korodani zangu mpaka nilipoipeleka Kamera, sema sikufurahishwa na rangi ya ngozi nikadiliti fasta
Exactly! ktk hizi picha binti anafanywa na jamaa(namaanisha anafanywa) intention ya jamaa ikiwa kupata picha as dirty as possible! nadhani akilenga kufanya anachokifanya sasa, hata account ya fb imefunguliwa na huyo x kwa kutumia majina ya huyu binti, na ndiye anaye-i-run. Sidhani hata kama ana shida na laki tatu kama mleta mada alivyodai mwanzo. mkuu nimeku-PM.
Papizo naunga mkono hoja yako!X is behind this.
yani kama ulikuwepo ebu taja hiyo akaunti kwanza, ila watu hawakomi, unadanganywa kupigwa picha nikikukumbuka niwe nakuona, upuuzi kabisa, hiko kitu sitakuja kukifanya hata nikutane na dada malaya vp, ila najiulizaga kwa nini kwa mabinti tu? hao wakaka mbona hawapigi mihogo yao na vibamia vyao? wadada jifunzeni na mbadilike mpe akimaliza basi picha ajipige yeye apeleke kwa dada zake wamuone, inakera sana, nakereka sana na kizazi hiki cha nyoka.ntajie jina la hiyo account nitumie uwezo wangu mkubwa wa ushawish afute account tabia mbaya hii kanikera kweli huyo mwanaume