Msaada kiwanja Ku-Date

Mpeleke DARAJA LA KIGAMBONI....Hiki ni kiwanja kipya mjini!
 
H
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.
Ukute huyo mtoto kishua yupo humu ndani anakuchora tu
 
Kimboka panafaa tena nasikia kuna guest hapo hapo kinywaji kikolea mnabinjuka Zaidi. na ikitokea akakuzingua kuna mbadala wa kila design.
 
Sio lazima umpeleke kiwanja. Hao walishaona viwanja vya kutosha. Kaa naye beach ya kawaida tu. Usipate shida. The end justifies the means
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…