Msaada kisheria unahitajika hapa wajuzi wa sheria.

Internal

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
3,575
3,894
Wadau kama kichwa kilivyo,

Kuna ndugu yangu amemjeruhi mtu kwa kumkata na panga baada ya kumfumania na mke wake, sasa amekamatwa yuko chini ya vyombo vya sheria. Nimefuatilia tukaambiwa kwa sasa hakuna chochote kitaendelea mpaka aliejeruhiwa apone. Sasa nawaza akipona tutamsaidiaje ndugu yetu?? Na je ikitokea asipopona nini tutafanya ili kumsaidia ndugu yetu?

Karibuni. Sijapeleka jukwaa la sheria maana humu naamini wapitiaji ni wengi hivyo nitasaidika mapema.
 
Kama hali ya mgoni wenu sio mbaya sana, muyaongee myamalize nje ya mahakama,nyinyi mumsamehe mgoni wenu, na yeye asamehe majeraha aliyopewa...then ndugu yako apige chini jiko lake kwani muonja asali huwa haonji mara moja...
 
Mm nachotaka tu tumsave huko aliko akiyoka atajuana na mke wake. Nimewashauri tutoe nje lakini sujui procces za kulitoa kitoka kwenye vuombo vya dola kuja nje mkuu nisaidie
 
Hapa kitu muhimu ni afya ya huyu mgoni,kama anaendelea poa, mfuate muyaongee kiume...kumbuka wino wa polisi ushatumika kuandikia jarada na mtuhumiwa...kuufuta wino huo inatakiwa pesa....
 
Mkuu, jinai ni jinai tu. Hapo, kadiri ulivyohadithia, ndugu yenu ameshatenda jinai. Anasubiriwa aliyejeruhiwa apone au la ili kujua kosa atakaloshtakiwa nalo. Linaweza kuwa kujeruhi au kuua kwa kukusudia/kuua bila kukusudia. Mnapaswa kwasasa kufanya maombi ili aliyejeruhiwa asifariki. Kiujumla,kumsaidia ni kumtafutia Wakili sasa na kuendelea.
 
Sawa boss
 
kisheria kosa kama hili faini /hukumu yake ni ipi mkuu
 
Cha kwanza aliepgwa awe tyAr kumsahe natumaini atafanya hivyo na waende kumaliza kituoni then jamaa afanye kuachana na. Huyo mwanamke

Maswali yangu ya zaida katk mazingira
>alimkata mapanga mara ngapi
>alifika eneo la tukio akarudi fata panga
>alimfumania nyumban kwake au
>alipewa taarfa na mtu au ilikuwa suprise

Ni jibu hayoo..
 
Alipewa taarifa na kuemwafata mahali waliompo na kumshambulia mkuu
 
Hapa kitu muhimu ni afya ya huyu mgoni,kama anaendelea poa, mfuate muyaongee kiume...kumbuka wino wa polisi ushatumika kuandikia jarada na mtuhumiwa...kuufuta wino huo inatakiwa pesa....
mkuu kufuta kesi police ni buree isipokuwa rushwa imetamalaki kama ilivyo dhamana bure lakini lazima utoe pesa
tambua kuwa MAHAKAMA haipendi mshtakiwa afungwe ndo mana kesi uharishwa mara nyingi sana mpk upatikane ushaidi wa kuridhisha pande zote mbili
vivo hivyo police pia hupenda baadhi ya kesi ziishie police bila kufika mahakamani ikiwa mlalamikaji kalidhia jalada lifungwe
na ndo maana kuna kipengele flani polisi katika baadhi ya kesi kinatoa nafasi ya majadiliano kati ya mlalamikaji na mtuhumiwa wayamalize kabla kesi kuhamishwa mahakamani

kilichopo kama ulivyosema afya ya aliejeruhiwa itengemae then waongee wakubaliane then wayamalize hapo polisi bila kufika mahakamani jambo ambalo linawezekana kulingana na namna tukio lenyewe lilivyo ikiwa aliejeruhiwa atakubali yaishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom