Msaada: Kisimbuzi cha Azam TV kuandika neno 'App'

kazy

Senior Member
Sep 13, 2012
113
20
Wakuu habari zenu,

King'amuzi changu cha Azam TV kinaandika neno App baada ya kukiwasha halafu hakionyeshi chochote, ila mwanzo kwenye TV huwa linaanza kuja neno Azam TV halafu mwishowe kwenye kingamuzi inabaki kuandika neno App huku kwenye TV hapaoneshi kitu zaidi ya weusi.

Naombeni mwongozo natibu vipi hili tatizo?

NB: Ni hivi ving'amuzi vyeusi, toleo la mwisho.
 
Itakuwa no signal
1. Dish limeyumba
2. Waya umekatika kwa ndani
3. Angalia card
4. Waya wa nyuma ya king'amuzi wa kutoka kwenye dish haujafungwa vizuri
 
Wakuu habari zenu,

King'amuzi changu cha Azam TV kinaandika neno App baada ya kukiwasha halafu hakionyeshi chochote, ila mwanzo kwenye TV huwa linaanza kuja neno Azam TV halafu mwishowe kwenye kingamuzi inabaki kuandika neno App huku kwenye TV hapaoneshi kitu zaidi ya weusi.

Naombeni mwongozo natibu vipi hili tatizo?

NB: Ni hivi ving'amuzi vyeusi, toleo la mwisho.
Hicho ni cha kupiga SOFTWARE… Kama uko Dar peleka Tazara
 
Wakuu habari zenu,

King'amuzi changu cha Azam TV kinaandika neno App baada ya kukiwasha halafu hakionyeshi chochote, ila mwanzo kwenye TV huwa linaanza kuja neno Azam TV halafu mwishowe kwenye kingamuzi inabaki kuandika neno App huku kwenye TV hapaoneshi kitu zaidi ya weusi.

Naombeni mwongozo natibu vipi hili tatizo?

NB: Ni hivi ving'amuzi vyeusi, toleo la mwisho.
Hivyo ving'amuzi vyeusi ni chenga sana
Mimi changu huwa kinandika smart card mute,kuna siku nikawapigia customer care kaniambia geuza card juu chini ndiyo ikawa chenga tu
Ni kama wamefeli hapo..
 
Back
Top Bottom