Mkuu hicho chuo hakipo tena,baada ya mwenye Chuo mzee Salemwala kufariki,vijana walishindwa kukiendeleza.vipi kuna mtihani ulitaka kufanya hapo?
Kama ni mitihani ya NCC Education ya UK unaweza kufanyia kwenye vyuo vingine vinavyofundisha hayo masomo na kusimamia mitihani hiyo.
Mojawapo ya chuo ni Learn IT, kipo mtaa wa Lumumba.
Huo mtaa ni tatizo!Kama ni mitihani ya NCC Education ya UK unaweza kufanyia kwenye vyuo vingine vinavyofundisha hayo masomo na kusimamia mitihani hiyo.
Mojawapo ya chuo ni Learn IT, kipo mtaa wa Lumumba.
Mkuu kuwa makini na hizi mambo. Baba wa Binamu yangu, dk chache kabla ya kukata roho, alikuwa anawatajia wanawe Mali zake, kuna point alifika akawa anataja shamba alilokata viwanja, kabla hajamaliza kusema akafariki.Inawezekana yeye ndio alikuwa kila kitu, familia yake hakuihusisha sana kwenye uendeshaji wa chuo.
Na hii inatokea mara nyingi sana kwa sisi Waswahili, tunafanya vitu kwa kujificha sana.
Mfano mzuri mimi mwenyewe kuna baadhi ya vi assets ninavyo ila hamna hata ndugu yangu mmoja anayejua.
Hata mali zako mkuu, ukiondoka, taratibu nazo zitaanza kupotea, sababu wewe ndiyo ulikuwa na uchungu nazo, kuzitunza, uliowaachia hawataweza kuziangalia kama wewe, ni ukweli na tukubaliane na hili..Hivi tatizo linakuwa ni nini? Baada ya mwanzilishi kufariki shughuli inaishia hapo. Hii huwezi kukuta kwa wenzetu waHindi au waArab ni kwetu sisi waTz waBantu
Nilisoma pale, ila wakati chuo kipo Mabibo, karibu na NIT, office zao mjini, walikuwa na basi lao hivi, jipya zuri matata sana la kututoa mjini mpaka chuo na kuturudisha, na pale Mabibo chuo kilikuwa fittings and settings mpya kabisa, kila kitu kilikuwapo, projectors, PCs za kumwaga, Library, haki ya nani kilikuwa kizuri mno, kama cha ulaya kabisa..Hawakuwa wabantu mkuu,ni wahindi ila wana uraia wa Tanzania.
Napenda sketch moja ya KIPANYA, alikuwa anamuuliza kigogo mmoja, "kwani babu yake alimuachia future gani"?, baada ya kigogo kuonekana analundika mahela na mali?!Hivi tatizo linakuwa ni nini? Baada ya mwanzilishi kufariki shughuli inaishia hapo. Hii huwezi kukuta kwa wenzetu waHindi au waArab ni kwetu sisi waTz waBantu
Unaweza kupitia kwenye website yao, hao hao NCC NCC Education | Business Qualifications | IT QualificationsNina diploma ya ncc ya computer studies naweza kujiendeleza online ncc
Thank you kiongoziUnaweza kupitia kwenye website yao, hao hao NCC NCC Education | Business Qualifications | IT Qualifications
Thank you kiongozi