Msaada: Kilipo kituo cha Polisi Kawe

Msaada: Kilipo kituo cha Polisi Kawe

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,293
Reaction score
6,903
Habari zenu wana jukwaa..
Nataka kufika kwenye Kituo cha Polisi Kawe.
 
Panda basi la kawe,shukia kituo cha kanisani,ndo hapo hapo.
Kunani?
 
Huwezi kupotea kituo cha polisi. Wewe nenda kawe. Mia
 
Ukifika utakuta bendera ya nchi nje na jamaa wamevaa nguo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom