kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #81
Asante mkuu nitafanya hivyo,Unakuwa ukisaga unaweka katika kikombe robo lita 1×3
Ukimaliza kuua hao bacteria na ukapona niletee Asante yangu sawa
Asante mkuu nitafanya hivyo,Unakuwa ukisaga unaweka katika kikombe robo lita 1×3
Ukimaliza kuua hao bacteria na ukapona niletee Asante yangu sawa
Nilitaka kumshauri kitu kama hiki.Consider allergy test...or try to include over-the-counter allergy medication in your treatment
Wengi wana allergy ya vitu wanavyo vipenda na hawajui.Consider allergy test...or try to include over-the-counter allergy medication in your treatment
Itabidi niende hospitalWengi wana allergy ya vitu wanavyo vipenda na hawajui.
Mfano Mimi Nina allergy na harufu kali yeyote iwe perfumes au harufu mbaya.
Harufu ya jasho ndiyo tatizo kubwa zaidi bila kujali langu au la mwingine.
Niligundua baadae sana. Niliteseka koo linakaba kumeza vitu shida, usiku kichwa kinauma n.k. Nikahofu saratani ya koo kumbe sabuni zenye harufu kali, perfume na deodorant ninazo tumia.
Nikaacha kutumia tatizo likaisha mara moja.
Dadeki 😂😂 Huyo ndio Dada Joanah.... Chukua chuma hichoDiprofos inj+Montelukast tbs siku 30
Your defense has been compromised, immunity is weak either from poor nutrition, alcoholic or something acidic. U may need electrical herbs to energized ur immunity.Nimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
Samahani mkuu unaweza kunifafanunulia kwa kiswahili?Your defense has been compromised, immunity is weak either from poor nutrition, alcoholic or something acidic. U may need electrical herbs to energized ur immunity.
If you're truly want yourself back improvise organic herbs and foods inorder to regain your power back, oxygen in your cells thro electric Herbs.
What some?
Ulinzi wako umeathiriwa, kinga ni dhaifu ama kutokana na lishe duni, ulevi au kitu chenye tindikali (vyakula vya fast food na bidhaa za viwandani). Unaweza kuhitaji mimea ( oxygen nyingi mf. Unapoweka mmea huo kwenye maji basi utaona ukitoa bubble nyingi kwenye maji) yenye umeme ili kuimarisha kinga yako.Samahani mkuu unaweza kunifafanunulia kwa kiswahili?
Sawa mkuu ntakucheki PMUlinzi wako umeathiriwa, kinga ni dhaifu ama kutokana na lishe duni, ulevi au kitu chenye tindikali (vyakula vya fast food na bidhaa za viwandani). Unaweza kuhitaji mimea ( oxygen nyingi mf. Unapoweka mmea huo kwenye maji basi utaona ukitoa bubble nyingi kwenye maji) yenye umeme ili kuimarisha kinga yako.
Iwapo unataka ujirudishe, pata tiba asili yenye oxygen nyingi (umeme) na vyakula vya asili ili kurejesha nguvu zako, oksijeni kwenye seli zako kupitia Herbs za zenye umeme mwingi (Oxygen)
Una hitaji tiba ni PM.
Unamwitaje Joana MkuuAsante mkuu ntaenda kuulizia Pharmacy
Kwani neno mkuu, lina shida gani?Unamwitaje Joana Mkuu
Itakuwa vizurAsante mkuu, hakika nitafanya hivyo