Msaada kifua kisichopona

Msaada kifua kisichopona

Kama tatizo ni la muda mrefu nenda kafanyiwe kipimo, si kawaida kwa sehemu za joto kuwa na hilo tatizo.
Kuna aina fulani ya bia ukinywa, unakuwa na hilo tatizo, je wewe ni mnywaji wa pombe?
Ndiyo ila ni mara chache mno, ila hiyo siyo chanzo
 
Pia angalia mazingira unayoishi kama bondeni au karibu na mto kunakuwa na upepo mafua na vikohozi vingi
Muhimu anza kuoga maji moto muda wote bila kujali kuna joto au baridi utanipa mrejesho.
 
Pia angalia mazingira unayoishi kama bondeni au karibu na mto kunakuwa na upepo mafua na vikohozi vingi
Muhimu anza kuoga maji moto muda wote bila kujali kuna joto au baridi utanipa mrejesho.
Asante mkuu, huwa naoga hayo mara moja moja
 
Ninaeumwa ni mimi peke yangu
Piga hii dozi​
  • Kunywa supu ya samaki sato kila asubuhi kwa siku 7​
  • Mchana kula matunda mchanganyiko kwa siku 7​
  • Saa kumi, pata glasi mbili za maziwa freshi kwa siku 7​
  • Pata mchemsho wa kuku wa kienyeji na glasi mbili za juisi kwa siku 7​
  • Kunywa maji mengi yenye ubaridi wakawaida.​
Baada ya hapo kifua na makamasi kwishaaa​
 
Mazingira ninayoshinda hivi vyakula hawatengenezi
 
Aaaah unafanya Shughuli gan? ( Huwezi elezea hapa ,nijibu inbox)

Alafu hiyo shida Ina muda gan Sasa?.
Yaani ni shuguli za usafi ofisini mwa watu kwahiyo kukutana na vumbi vumbi ni kawaida mno, hiyo shida ina muda mrefu ilikuwa inakuja naipotezea nikajua ni kawaida tu
 
Ok poa poa angalia ingawaje wale matibabu yao serikali imetia mkono sio gharama sana kama hapa Daslm..
Nauli ya kutoka Dar, kwenda kutibiwa huko ni yale yale tu ni heri niangalie hospitali ya huku huku
 
Unatakiwa ununue upike au utengeneze, wakati mwingine vyakula vya kununua vilivyopikwa vina shida, si ajabu wakawa wamechanganya vumbi la jirani.
Dah! Sasa huo muda wa kupika, huku mjini ni gharama itabidi nihamie kijijini
 
Back
Top Bottom