Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,494
- 41,175
Kama una Bima wanakubali piaNauli ya kutoka Dar, kwenda kutibiwa huko ni yale yale tu ni heri niangalie hospitali ya huku huku
Kama una Bima wanakubali piaNauli ya kutoka Dar, kwenda kutibiwa huko ni yale yale tu ni heri niangalie hospitali ya huku huku
Dah! Sasa huo muda wa kupika, huku mjini ni gharama itabidi nihamie kijijini
Huwa naisikia tuKibong'oto hospital.
Pole, ni kazi ndogo.Nimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
Alitumia nini akapona?Pole, ni kazi ndogo.
Niliwahi kuwa na mdogo wangu akisumbuliwa na kifua kwa takribani 10yrs.
Sasa ni mzima kabisa
Asante mkuu, hakika nitafanya hivyoPole kwa yanayokusibu, Cha kukushauri nenda kituo Cha afya kilicho karibu nawe kwa msaada zaidi
Napikaga home lakini mara chache chache sana 😢Kama hujipikii, tatizo lako litakuwa ni huko unakokula, umekula chipsi zilizopikiwa mafuta ya diseli au chakula kilichopikiwa maji ya kuoshea vyombo.
Sawa mkuu, ngoja niulizie kwanza hukuKama una Bima wanakubali pia
Jitahidi uolewe ili uwe unapika kila sikuNapikaga home lakini mara chache chache sana 😢
Kama za hospitalini wameshindwa, jaribu dawa za kienyeji zikiwemo za kisunni na pamoja na mazoezi.Nimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
Aah sawa na kikohozi kina muda gan( siku/wiki/miezi/miaka ngapi tangu kikuanze?)Yaani ni shuguli za usafi ofisini mwa watu kwahiyo kukutana na vumbi vumbi ni kawaida mno, hiyo shida ina muda mrefu ilikuwa inakuja naipotezea nikajua ni kawaida tu
Asante sana mkuuPole
Ni miaka sasa, hata sikumbuki sikujua kama ni big issue kwahiyo sikuchukuliaga seriously kilivyonianzaga nikawaga natumia dawa za kifua kinapotea baadae kinarudi nikajua labda ni vumbi labda ndiyo linaniletea shidaAah sawa na kikohozi kina muda gan( siku/wiki/miezi/miaka ngapi tangu kikuanze?)
Huo muda wa mazoezi hata sipatagi mkuu, za hospital sijatumia sanaKama za hospitalini wameshindwa, jaribu dawa za kienyeji zikiwemo za kisunni na pamoja na mazoezi.
Amen, InshaAllah nasubiri Mungu aniletee huyo mume mwemaJitahidi uolewe ili uwe unapika kila siku
Asante mkuuLimao
Tangawizi
Kitunguu swaumu
Changanya utumiw 1 ×3 kwa siku saba
Unakuwa ukisaga unaweka katika kikombe robo lita 1×3Asante mkuu