Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Pharmacy iliyopo karibu mwambie Nesi naomba ZecufNimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
Pharmacy iliyopo karibu mwambie Nesi naomba ZecufNimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
Hiyo haijanisaidia mkuuPharmacy iliyopo karibu mwambie Nesi naomba Zecuf
Ukivuta pumzi kwa mdomo, kifua kinaunguruma?Asante mkuu, jinsia yangu ni KE, Eneo ninaloishi ni Dar, kazi zinazohusisha kuwa karibu na vumbi kiasi.
Yaani hiki kifua iko hivi asubuhi nikiamka koo linakuwa linakwaruza nikikohoa natema makohozi, muda mwingine inaweza kwenda hiyo hali hadi mchana, sijui kama ntakuwa nimeelezea vizuri
Asante mkuu nitaenda hospitaliTiba na dawa mi hospitalini baada ya kufanya diagnosis na kujua sababu ni nini. Hapa utashauriwa dawa ambazo zinaweza kukuletea matatizo zaidi. Pia ugonjwa wako unaweza kuwa ni symptoms za jambo kubwa la kiafya kwako, na ukiendelea kuchelewa tatizo litakuwa kubwa.
Nenda hospital wewe! humu Kuna makanjanja tuAsante mkuu ntaenda kuulizia Pharmacy
Overdose wakisema unywe moja kunywa tatuHiyo haijanisaidia mkuu
Hapana mkuu, kifua kinakwaruza nakuwa natema makohozi tuUkivuta pumzi kwa mdomo, kifua kinaunguruma?
Asante kwa ushauriOverdose wakisema unywe moja kunywa tatu
Mh! Sina imani na hiyo tibaJifukize, usipende kukimbilia madawa
Asante mkuu, hospital gani unanishauri niendeNenda hospital wewe! humu Kuna makanjanja tu
Maganda ya Limao umeshajaribu?Asante kwa ushauri
Hindumandari unapawezaAsante mkuu, hospital gani unanishauri niende
Mkuu mbona hujaelezea kifua?Asante mkuu, jinsia yangu ni KE, Eneo ninaloishi ni Dar, kazi zinazohusisha kuwa karibu na vumbi kiasi.
Yaani hiki kifua iko hivi asubuhi nikiamka koo linakuwa linakwaruza nikikohoa natema makohozi, muda mwingine inaweza kwenda hiyo hali hadi mchana, sijui kama ntakuwa nimeelezea vizuri
Kama tatizo ni la muda mrefu nenda kafanyiwe kipimo, si kawaida kwa sehemu za joto kuwa na hilo tatizo.Hapana mkuu, kifua kinakwaruza nakuwa natema makohozi tu
Wengine tunadunda tu, zaidi ya miaka 50 tunatumia hizo tibaMh! Sina imani na hiyo tiba
Ndiyo hicho kinachonisumbua mkuuMkuu mbona hujaelezea kifua?
Umeelezea Koo kuwasha na kukohoa
Huko Dasalama, ndo mnafundishwa hivo Koo kuwasha, useme kifua kinasumbua?.
Mimi nipo Dar mkuuNenda hospital moja ipo Moshi ni mabingwa wa matatizo ya kifua niliwahi kumpeleka Mgonjwa hapo nishaisahau jina sema kuijua ni rahisi tu ukiwa tayari kwa hilo hao jamaa ndio wanawaangalia sana watu waliofanya kazi za kwenye migodi kwa muda mrefu na kupata matatizo ya kifua wapo vizuri sana.
Ipo maeneo gani?Nenda hospital moja ipo Moshi ni mabingwa wa matatizo ya kifua niliwahi kumpeleka Mgonjwa hapo nishaisahau jina sema kuijua ni rahisi tu ukiwa tayari kwa hilo hao jamaa ndio wanawaangalia sana watu waliofanya kazi za kwenye migodi kwa muda mrefu na kupata matatizo ya kifua wapo vizuri sana.