KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wenyeji wa humu heshima iwe kwenu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ujumbe niliotumiwa na mpenzi wangu nimeshindwa nimjibu nini.Hivyo kupitia hapa naombeni ujumbe maridhawa nitakaompatia kutoka kwenu ambao mmekwishakutana na hili tukio la siku ya kuzaliwa ya utamu wako.Mimi sina mihela sijui ya kwenda kufungua mishampeni wala kukata makeki.Wadada mchango wenu utakuwa wa muhimu sana