LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 672
jaman wana jamvi mimi mwenyewe ninatatizo ambalo sijui ninini? tatizo n kwamba huwa napata maumivu sana wakati na baada ya haja kubwa na wakati mwingine huwa naona damu kama nikitumia toilet paper, mwanzo nliju labda choo kigumu bt nlijitahid kunywa maji na nikawa napata choo laini lakini naona bado tatizo hili linanisumbu kwa wataalam au walio wahi pata hili wanisaidie ni tatizo ga?? na nini tiba yake? naombeni msaada karibu wiki ya tatu sasa napata shida hii,