Msaada katika hili jamani plz

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
670
jaman wana jamvi mimi mwenyewe ninatatizo ambalo sijui ninini? tatizo n kwamba huwa napata maumivu sana wakati na baada ya haja kubwa na wakati mwingine huwa naona damu kama nikitumia toilet paper, mwanzo nliju labda choo kigumu bt nlijitahid kunywa maji na nikawa napata choo laini lakini naona bado tatizo hili linanisumbu kwa wataalam au walio wahi pata hili wanisaidie ni tatizo ga?? na nini tiba yake? naombeni msaada karibu wiki ya tatu sasa napata shida hii,
 
​Huko ulipo hamna hospital kama ukiona dalili ya ugonjwa unaenda hospital kwa vipimo zaidi.
 
jaman wana jamvi mimi mwenyewe ninatatizo ambalo sijui ninini? tatizo n kwamba huwa napata maumivu sana wakati na baada ya haja kubwa na wakati mwingine huwa naona damu kama nikitumia toilet paper, mwanzo nliju labda choo kigumu bt nlijitahid kunywa maji na nikawa napata choo laini lakini naona bado tatizo hili linanisumbu kwa wataalam au walio wahi pata hili wanisaidie ni tatizo ga?? na nini tiba yake? naombeni msaada karibu wiki ya tatu sasa napata shida hii,

kuna uwezekano mkubwa ukawa na ugonjwa unaoitwa anal fissure. Ni vizuri uende ukamwone surgeon ndio hasa anaweza akakusaidia. otherwise waweza jaribu anusal suppositories zaweza kukupa nafuu, but kumwona dk ni muhimu.
 
Navyofahamu mimi wanahuhita mgogo.je,ukiangalia vizuri uoni dalili za usaha kwenye kinyesi
 
Cha muhimu hapo nenda hospitali mapema. sehemu unazozitamka ni nyeti sana sijui umewezaje kusubiri wiki tatu zote hizo. please wahisha kwa hospital
 
Papai zingatia. Moja kwa siku, na muone dr kwa uchunguzi zaidi
 
haemorrhoids ya aina fulani hata ukpatiwa jibu la namna gani nenda hospitali umwone daktari husika mapema,usiende samunge
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom