Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,983
Habari wakuu.
Nipo kwa muda hapa Lamadi wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu.
Naomba msaada kwa anae fahamu location ya kanisa la TAG lililo maeneo ya Lamadi.
Natanguliza shukrani.