toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Jamani msaada wa haraka unahitajika kuna ndugu yangu kaibiwa simu sasa aloiba simu yupo online watssap na namba hiyo hiyo ya jamaa na anawapa watu hadi namba za kutuma hela.
Hapa nini kifanyike tumkamate mwizi? Na kizuri ni kuwa aloiba tushapata namba yake ambayo baada ya kuiba simu alikua anaomba atumiwe hela kwa namba ya simu ambayo alimtumia mmojawapo wa ndugu yangu.
Msaada wa haraka unahitajika hapa nini kifanyike jamaa apate simu?