laplap Member Nov 5, 2010 27 0 Dec 2, 2011 #1 wakuu naomba msaada ni tatizo gani linasababisha kuota vinyama vidogovidogo sehem za siri esp kwa wanaume nawakilisha
wakuu naomba msaada ni tatizo gani linasababisha kuota vinyama vidogovidogo sehem za siri esp kwa wanaume nawakilisha
Mtalingolo JF-Expert Member Aug 4, 2011 2,181 409 Dec 2, 2011 #2 Vinaota sehem gani? Ktk tupu ya mbele au ya nyuma?
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,723 Dec 2, 2011 #3 i havent came accross this type of disease! Kuwa na subira wataalamu wanakupa mjibu sasa hivi!
laplap Member Nov 5, 2010 27 0 Dec 2, 2011 Thread starter #4 Mtalingolo said: Vinaota sehem gani? Ktk tupu ya mbele au ya nyuma? Click to expand... vinaota chini ya uume karibu na korodani
Mtalingolo said: Vinaota sehem gani? Ktk tupu ya mbele au ya nyuma? Click to expand... vinaota chini ya uume karibu na korodani
Mganga wa Jadi JF-Expert Member Mar 12, 2008 280 51 Dec 2, 2011 #5 Zinaitwa genital Warts na husababishwa na virus anayeitwa HPV type 6 and 8. Hutibiwa hopitalini wahi upate tiba.
Zinaitwa genital Warts na husababishwa na virus anayeitwa HPV type 6 and 8. Hutibiwa hopitalini wahi upate tiba.
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Dec 2, 2011 #6 Mganga wa Jadi said: Zinaitwa genital Warts na husababishwa na virus anayeitwa HPV type 6 and 8. Hutibiwa hopitalini wahi upate tiba. Click to expand... Hutibiwa kwa njia ya oparesheni au drags
Mganga wa Jadi said: Zinaitwa genital Warts na husababishwa na virus anayeitwa HPV type 6 and 8. Hutibiwa hopitalini wahi upate tiba. Click to expand... Hutibiwa kwa njia ya oparesheni au drags
prakatatumba JF-Expert Member Oct 17, 2011 1,328 190 Dec 2, 2011 #7 Mhu mbona m sina,chanzo chake nini hao virus?