Msaada juu ya PSPTB review classes....

Msaada juu ya PSPTB review classes....

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
592
Reaction score
183
Wasalaam waungwana

Ninaomba msaada kutoka kwenu, mimi ni mwanafunzi ambaye ninatarajia kufanya mitihani ya PSPTB hapo mwakani mwez wa tano.

Nimesikia pale buguruni kuna kituo kwa ajili ya review classes, sasa kwa mwenye mawasiliano ama namna ya kuniwezesha maelekezo namna ya kuwapata hawa jamaa nitafurahi. Msaada tafadhali.
Nangoja toka kwenu.
Ahsanteni
 
nenda pale zoom magomeni.....pia inategemea unaanza stage gani....
 
Back
Top Bottom