Msaada juu ya kaka yangu, nifanyeje?

Hapa umeeleweka km maza wako ndo kinachomleta hapo basi msubirie, atamalizana nae
 
Kwan bro ana mpango wa kukaa hapo hadi lini.....?

Muulize ana mpango gan kwa saiz wa maisha yake...?

Akikujibu hilo swali hapo utajua umwambie nn
 
Duuh!!yani mtu wa 35 of age anafanya umalaya
 
Una ushahidi hao wasichana anakuja nao home anawalalaga? Maana umesema alishagaleta hadi sister! Wakati sister huwa hawana mambo hayo.....
Chunguza vizuri huenda ni watu anaoshiriiana nao katika kazi zake.
 
Kwan bro ana mpango wa kukaa hapo hadi lini.....?

Muulize ana mpango gan kwa saiz wa maisha yake...?

Akikujibu hilo swali hapo utajua umwambie nn
Anajenga, angekua amemaliza sema starehe.
 
Una ushahidi hao wasichana anakuja nao home anawalalaga? Maana umesema alishagaleta hadi sister! Wakati sister huwa hawana mambo hayo.....
Chunguza vizuri huenda ni watu anaoshiriiana nao katika kazi zake.
Wanalala chumba kimoja sasa cjawahi fuatilia zaidi wanafanyaga nini ndani japo kwakawaida lazima nikujamiana unless otherwise
 
Na wswas na mtoa mada Mara anasema Naomba mxada Mara mama anakuja kuongea nae Mara naogop kumwambia.. Aaaakh!!! Unanvuruga
 
Basi fanya utafiti kwanza. Huyo kaka 'ako alpokuwa deported unasema alijiingiza kwenye shughuli fulani ndio sababu. Je alijiingiza kwenye ushoga?
Nauliza kwa nia njema tuu...
 
Wanalala chumba kimoja sasa cjawahi fuatilia zaidi wanafanyaga nini ndani japo kwakawaida lazima nikujamiana unless otherwise

Ww ukilala na mumeo chumb kimoja mnfanyaga nn?!
 
Na wswas na mtoa mada Mara anasema Naomba mxada Mara mama anakuja kuongea nae Mara naogop kumwambia.. Aaaakh!!! Unanvuruga
Pamoja nakwamba anakuja mama ila namimi niwe nachakuongea nae.
 
aisee ana miaka 35 na bado unaishi nae na umeruhusu nyumba yako iafanye gesti...hivi mumeo akija na hizi taabia za kakako nae anazitazama tu au hua anahama.
Huu ugojwa umeulea wewe dada, siku ya kwanza alivyoleta demu humo ndani ndio hapo hapo ulitakiwa ukatae kata kata hizo tabia chafu sasa kashaloea ndio sababu mama anakuja unaona ipo tatizo.
Tatizo ni wewe au hua unafaidi mapishi ya hao akina kuletwa nini?
Nyumba yako lazima uiheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…