The King of Jews
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 478
- 109
Habari wataalam, me nna HTC DROID DNA mpya, lakini kuna kitu sikielewi katika Simu hii, kila nnapoangalia Salio napata jibu lililoandikwa kwa kichina mpaka nachanganyikiwa na Salio lenyewe halionekani. Naomba msaada wa namna ya kitatua tatizo hili.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Natanguliza shukran zangu za dhati.