Msaada juu ya hili tafadhali....

mapunda b

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
418
19
katika arakati za kuulizia online bei za galaxy s4,note 2 na 3 ambapo nliambiwa izo bidhaa zipo Egpty
bei ni
Note 3 cost $350, Note 2 cost $250 and the S4 cost $300
na nkaambiwa n freeshipping ad dar na naweza pata ndani ya siku mbili...
je iv ni kawaida kwa izo divice kupata kwa iyo bei? Pia vipi gharama za kuchukulia inakuaje kwani mimi ni mgeni na aya mambo..
Kuna kitu kilinitia wasiwasi kidogo,hasa nlipomwambia kua mi kwa saiv kwa galaxy note3 nina $200,akanijibu iv,"What if you send the $200 and we will deliver the item to you and as soon as you get it you will send us our balance"
nkajiuliza dah..!! iv wananiamini kwa kiasi gani..!??

Naomba wenye ufaham na aya mambo wanipe darasa kidogo kwani bado najipanga mambo yakikaa vizuri niagize mzigo

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU.......
 

Attachments

  • 1392712040684.jpg
    1392712040684.jpg
    21.1 KB · Views: 52
haiwezekan kaka ukiona vitu bei rahisi hivyo ujue kuna harufu ya utapeli hapo

Ila kweli inawezekan maana..
Mkuu lakini pia mbon nishawai kuulizia tena note 3 in USA nkaambiwa n $400 + shipping na pia naona kam aijatofautiana sana na hii au..!?
 
Back
Top Bottom