mavangah
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 113
- 23
Habar za muda huu wakuu na kheri ya mwaka mpya kwenu, naomba msaada wa kisayansi ,kimila au wauzoefu juu ya GODORO zuri la kununua kwa matumizi binafsi.
Mwaka huu umeaanza katika malengo niliyojiwekea makuu matano ya mwaka huu, moja wapo nikupata muda mzuri wa kupumzika ikiwa ni pamoja na kupata usingizi mwanana Kwajili ya afya ya mwili na akili.
Bila kupoteza wakati, nawasilisha hii mada :- Nahitaji kununua godoro zuri hivyo ni lipi chaguo zuri kati ya haya, COMFY, GODORO DODOMA,DODOMA HALISI, TANFORM ARUSHA, Na mengineyo Mnayoyafaham.......
Nawasilisha , size ni 5 kwa 6, bajet kati ya laki 130 - 300k.Shukran za dhat kwenu.