Msaada juu ya godoro lipi ninunue

Msaada juu ya godoro lipi ninunue

Kuna kampuni mbili chagua moja Tanfoam na Qfl dodoma sema Tanfoam inabonyea na kurudi halafu wana bei kubwa za kijanja janja si unajua Wahindi mfano unaweza wapigia simu ukawauliza bei ya 6×6×10=wakakuambia ni 512000 hao ni mawakala wa maduka kwa wakala mkuu 6×6×10=460000 inapungua hadi na 450000 ona ujanja wa hawa Wahindi maana yake wee muuzaji unajilipa mwenyewe ila Qfl dodoma haibonyei kizembe kama unataka kunyoosha kiuno wahi Qfl dodoma na bei zao ni nafuu na zinamjali mtu wa chini kwa hiyo Qfl dodoma unafaa ila kuwa makini maana kuna dodoma asili lazima utofautishe.
 
Kama huna hela Chukua Qfl kama unazo Chukua Tanfoam mpaka mjukuu atalitumia mtafute wakala wao hapa Dar anaitwa Mbaga huyo hana tamaa kabisa 6×6×10=470,000 hadi 60 yuko poa ukihitaki namba zake nitakupa.
 
Back
Top Bottom