Msaada juu ya godoro lipi ninunue

Msaada juu ya godoro lipi ninunue

Lipi ni godoro bora kati ya Tanfoam na Vita Supreme? Mwenye uzoefu maana hapa natafuta godoro bora la kudumu mda mrefu.

Kwa kufanyia nini.maana starehee za godoro hizo ni mbili
 
Magodoro ya Pamba ni kiboko kwa hayo yote mnayo yataja. Pamba zikipungua unajaza tu zingine
 
Vitasupreme ndio the Best ina desinty 28 warranty miaka 7 Hadi 12 iyo tanfom haina density ya 28 kwaiyo vitasupreme ipo juuu Bei yake ni kubwa kuliko tanfom ndio mama wengi wanazikimbia
 
Jamani nahitaji kununua godoro ninunue godoro la kampuni gani linalodumu na gumu? Ushauri tafadhali
 
kabla sijakupa maoni yangu naomba kwanza unijibu yafuatayo
1.je una mke au unataka tu kulala pazuri ilihali uko bachelor
2.nyumba ni yako au umepanga unataka ukalale hadi ukorome kwenye nyumba za watu
3.una kazi au unataka uwe unalala tuu hadi unapunguza uzalishaji wa kitaifa
nijibu kwanza hayo kwani bqdo nina mengi ya kukuuliza,na endapo majibu ya yote hapo ni hapana,basi nakushauri gongea plywood kwa chaga enjoy your usingizi wa mangamungamu ili uweze kupata wasaa mzuri kuyakamilisha.....
mwisho nisamehe tuu bana si unajua tena leo weekend, wahi kabebe Tanfoam yako and enjoy ze joto!
 
Back
Top Bottom