Msaada juu ya bachelor of procurement

Quicklime

Senior Member
Mar 30, 2011
174
62
Jamani wanajamvi nahitaji msaada juu ya chuo kizuri kwa kusomea bachelor of procurement nchini tanzania...
 
Natambua hlo lakini majembe ya humu nayaamini sana ndugu yangu!
 
Jamani wanajamvi nahitaji msaada juu ya chuo kizuri kwa kusomea bachelor of procurement nchini tanzania...
Ningekushauri usome UDSM, lakini bahati mbaya hii course imesimamishwa kwani asilimia kubwa ya walimu wapo nje kimasomo. Asikudanganye mtu UDSM wanatoa degree ya materials management ambayo unaweza kufanya kazi mahali popote, ziwe NGO's au serikalini. Jaribu tu kusoma huko kwingine wanakokushauri ili uweze kuwa expert kwenye manunuzi ya serikali tu!
 
Nenda mzumbe,atleast elimu yao iko stable,huko kwngne longo longo 2.
 
Naona kila mtu anasifia mahala pake, to be honest hyo kozi nenda st augustine university na kwa ushauri zaidi isome content ya hyo kozi kwenye prospectus yao.
 
Muccobs wanatoa Procurement and supplies management na nadhani TIA pamoja na CBE wanatoa hiyo hiyo. Ila Mzumbe,kama sikosei wanatoa Procurement and Logistic. Ila haijalishi unasoma wapi. Kwani mwisho wa siku ili uweze kutambulika itakupasa kufanya mitihani ya PSPTB ambayo ni bodi inayosimamia hizo course. Na ukifanya ukafaulu utakabidhiwa CPSP. Ambayo itakuwa inakutambulisha kama mtaalamu wa Manunuzi na ugavi. Wewe usijali nenda soma hapo hapo,usiyumbishwe.
 
Back
Top Bottom