Hiyo machine itakuwa sio mchezo makampuni mawili Apple na Toshiba yameshilikiana kutoa ipad inaitwaje.
Yani wewe umechiniwa umenunua chamchina..... ipad3 na nyuma imeandikwa toshba na siyo hata toshiba daaa pole sana.wadau najua mshanielewd nina ipad 3 nyuma imeandikwa toshba sasa nachtaka kujua ni sehemu ya kuweka line coz nimeskia kuna ujanja wa kukata line na kuweka na inapiga kazi sasa mimi nimeangaika bjona
kwa mujibu wa mtandao wa toshiba tablet hiyo haina uwezo wa kuweka line.ni toshiba tablet model:at100
Version:adroid toshiba
Haya sasa hapo unaweza weka lne kwa anaejua coz ina wifi na inapga kaz nimenunua mia tatu kwa mtu na nataka niuze mia nne na mteja yupo ila kabla nataka jua kama naweza weka lne kama unajua nambie majungu ni kwa wasiojua
Du sijui niiuze gafla tkwa mujibu wa mtandao wa toshiba tablet hiyo haina uwezo wa kuweka line.
Toshiba AT100-100 - Product Specifications - Toshiba
unaweza itumia mkuu, kama una smartphone ni simple kupata internetDu sijui niiuze gafla t
smartphones nyingi zina option ya kuset hotspot ambayo itaruhusu vifaa vyenye WI-FI kutumia internet toka kwake, unatumia simu ipi nikupe njia ya kufanyaApo ntafaneje mkuu