SIMON PETER MATOZI
Member
- Mar 22, 2023
- 23
- 21
- Thread starter
-
- #41
Asante ndugu kwa ushauriNdiyo inawezekana kuvunja hiyo ndoa. Jambo la kufahamu ambalo watu wengi hawafahamu ni kuwa hakuna ndoa isiyoweza kuvunjika sabbu ndoa zote ni mikataba, iwe imefungwa kidini, kimila au kiserikali.
Ifahamike pia kuwa ndoa zote halali zinavunjwa kwa misingi ya sheria ya ndoa, iwe ni yakidini, kimila au kiserikali.
Kwa huyo rafiki yako anayo sababu ya msingi kabisa kati ya sababu zilizotajwa kwenye sheria ya ndoa. KUSHINDWA SHIRIKI TENDO LA NDOA
Sasa kitu gani afanye?
Kwa maelezo yako ni wazi ndoa yao bado changa sana (chini ya miezi 5) na kwa sharti la sheria ni kuwa ndoa itavunjwa ikiwa ina miaka miwili au zaidi, labda itokee sababu nyinginezo za lazima sana.
Kwa huyo rafiki yako, anatakiwa kwanza kupita bodi ya usuluhishi wa masuala ya ndoa, inaweza ikawa Baraza la Kata likikaa kama Baraza la usuluhishi wa ndoa au Baraz la usuluhishi wa ndoa katika kanisa lao ila hapo ni lazima hilo baraz la kanisa liwe limesajiliwa kwa ajili ya shuhuli hiyo. Sio baraza ilimradi baraza hapana.
Hapo watasuluhishwa watapewa na ushauri pia, ikigoma sasa atapatiwa cheti/shahada ya kushindwa kusuluhishwa.
Hapo atakwenda Mahakamani kwa ajili ya kufanya mchakato wa maombi ya talaka sasa, hapo anaweza kwenda Mahakama ya Mwanzo eneo alilopo, huko ataweka sababu hiyo ya KUSHINDWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA tangu ndoa ifungwe hadi wakati huo wa ombi la talaka.
Pia ataambatanisha nakala ya cheti cha ndoa, cheti/shahada ya kushindw kusuluhishwa pamoja na nyaraka zinginezo.
Hapo ataeleza pia kama kuna chumo/mali za pamoja hapa akumbuke kamwe hawezi kugawiwa mali alizomkuta nazo huyo mume wake has ukizingatia umri wa ndoa yao. Hatutegemei kuwepo na watoto hapo.
Basi watasikilizwa na Mahakama ikiridhika itatoa talaka.
Sasa baada ya kupatiwa talaka atatakiwa kwenda kwa msajili wa ndoa wilaya alimofungia ndoa na nakala ya maamuzi ya Mahakama yenye mhuri, pamoja.na cheti cha ndoa na nyaraka zinginezo, huko atakwenda kusajiliwa kama mtu asiye na ndoa.
Haya sasa arudi kwa mchepuko wake wakafanye jambo rasmi la kuoana.
Kila la kheri, japo hatupendi kuvunja ndoa zenu.
Daaah,miez mitatu tu?? Amsubiri kwanza amsaidie kutatua tatizo siyo kumuongezea tstizo,wanaume wengine ni suala la saikolojia tu,sidhan hata kama amewahi kwnda naye hospitaliHabari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Hawajawahi kwenda hospitaliDaaah,miez mitatu tu?? Amsubiri kwanza amsaidie kutatua tatizo siyo kumuongezea tstizo,wanaume wengine ni suala la saikolojia tu,sidhan hata kama amewahi kwnda naye hospitali
Ndoa ni kitendo cha mume kumuingilia kimwili mchumba wakeNdoa haivunjiki mnatengana tu ila wewe huruhusiwi kuoa na mwenzio haruhusiwi kuolewa hadi mmoja wenu afe
Shida mwanaume hataki kuja kila tunapo ongea nae wala kanisan
Kabla ya kuvunja ndoa, ametumia mbinu zipi kumtibu mumewe ili aweze kushiriki tendo la ndoa?
Wewe una uhakika jamaa kuwa jamaa hajawahi kushiriki naye tendon la ndoa,kama ndivyo ilikuwaje mpaka akaoane naye.kuna issue hapo huyo rafiki yako anavificha.Shida mwanaume hataki kuja kila tunapo ongea nae wala kanisan
Tutaamini vipi kama huyo jamaa haisimami.Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Ndio maana nasema huyu mtoa mada anaingilia mambo asiyo yafahamu.Hadi Huyo binti kwenda kuolewa na jamaa kwamba alipakiziwaAisee hii kali inamaana kabla ya kuoana hawaku-test mitambo kwanza yaan aliingia kichwa kichwa ?
✍️
Privacy yao imeingiliwa yeye aliona kwamba jamaa mitambo yake imekufa ?Ndio maana nasema huyu mtoa mada anaingilia mambo asiyo yafahamu.Hadi Huyo binti kwenda kuolewa na jamaa kwamba alipakiziwa
Ikivunjwa kiserikali kanisa litaendelee kuitambua na hivyo hataweza kuolewa tena kanisani.Hiyo ndoa kuivunja ni rahisi sana
Ndoa bila tendo la ndoa ni ndoa batili.
Kama hataki mzunguko mrefu Asiende kanisani.
Aende baraza la kata. Watawasikiliza wote wawili kisha watapewa cheti cha kata. Ambacho watapeleka mahakamani na kuivunja hiyo ndoa kisheria. Ndani ya mwezi mmoja tu kila kitu kinakamilika
Kanisani watawazungusha zungusha sana
Mama wa shanga ebu mpe somo 😂Akikujibu nitag
Mama wa shanga ebu mpe somo [emoji23]
Zile za kudumbukiza kwenye ndoa 😂We koma, kwanza shanga ndio nini?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio haivunjwi....wakati wanaoana huyo binti hakumkagua⁉️⁉️Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.