situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 28
- 37
Upo mwanza sehemu gani?je umeshalipia au upo kwenye stage gani?Ndugu Wana jamvi naomba munisaidie, hivi iliuunganishiwe umeme na Tenesco unatakiwa kufanya nini?
Mimi ni mwenyeji Wa Mwanza, nimefanya jitihada zote ili niunganishiwe umeme imeshindikana. Ndio maana nauliza wanaounganishiwa umeme wanatumia njia gani?
Nipo Mwanza wilaya ya magu kijiji cha isangijoUpo mwanza sehemu gani?je umeshalipia au upo kwenye stage gani?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, TANESCO kwenye suala la kuunganisha umeme siku hizi hawana longolongo, kuna site kadhaa mikoa tofauti nilikua na simamia katika kipindi cha mwisho wa mwaka 2022. Na kila nilipofikia suala la umeme haikichukua zaidi ya siku 5 mpaka kuunganishwa na huduma kwa site zotee na hapo hata ofisi za TANESCO sijafika.Ndugu Wana jamvi naomba munisaidie, hivi iliuunganishiwe umeme na Tenesco unatakiwa kufanya nini?
Mimi ni mwenyeji Wa Mwanza, nimefanya jitihada zote ili niunganishiwe umeme imeshindikana. Ndio maana nauliza wanaounganishiwa umeme wanatumia njia gani?
Ndugu MtejaNdugu Wana jamvi naomba munisaidie, hivi iliuunganishiwe umeme na Tenesco unatakiwa kufanya nini?
Mimi ni mwenyeji Wa Mwanza, nimefanya jitihada zote ili niunganishiwe umeme imeshindikana. Ndio maana nauliza wanaounganishiwa umeme wanatumia njia gani?
Tunashukuru kwa ushuhuda mzuriMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, TANESCO kwenye suala la kuunganisha umeme siku hizi hawana longolongo, kuna site kadhaa mikoa tofauti nilikua na simamia katika kipindi cha mwisho wa mwaka 2022. Na kila nilipofikia suala la umeme haikichukua zaidi ya siku 5 mpaka kuunganishwa na huduma kwa site zotee na hapo hata ofisi za TANESCO sijafika.
Kikubwa tumia application yao ya NIKONEKT unai-download app store.
Welldone Tanesco!,kitendo cha kujibu within mins mmenifariji sana, Tanesco tatizo la load shedding lipo kote hasa hapa SADC ila naomba mjitahidi kuendelea kutafuta vyanzo mbadala ili kupunguza makali, mfano ruhusini watu binafsi wazalishe umeme then wawauzie.
Fair enough mkuu ila umeme wa upepo, solar energy, coal, hep(umeme huu upo sana hasa kwenye private hospital, au monasteries)ziada yake Tanesco wanaweza nunua, na ushauri mwingine Tanesco wabakiwe na kazi ya kusambaza umeme wasiwe wazalishaji, uzalishaji wapewe wengine,elewa CHINA 🇨🇳 umeme mwingi unazalishwa na private providersNi changamoto
Ila ki uharisia kutengeneza mradi mwingine wa umeme kwa haraka ni ghali na sio rahisi kiasi hicho
Muhimu wangefanya power backup ya maana tu
Tanesco wamekujibu hapo chini, PM informations zako kwao ikiwa ni pamoja na namba ya ombiNdugu Wana jamvi naomba munisaidie, hivi iliuunganishiwe umeme na Tenesco unatakiwa kufanya nini?
Mimi ni mwenyeji Wa Mwanza, nimefanya jitihada zote ili niunganishiwe umeme imeshindikana. Ndio maana nauliza wanaounganishiwa umeme wanatumia njia gani?
Toka wapi?Umeachiliwa
HakikaUmeachiliwa
Mahabusu ya jfToka wapi?
Ooooh....ndo nlikuwa huko?Mahabusu ya jf
Mahabusu ya Mpendwa mteja unatakiwa uwe umefanya wiring pia unaweza kufanya maombi kupakua kwa kupakua app yetu ya NIKONEKT