Nafaham kuhusu frames.
Tafuta kitambaa cha sanda, then kuna chemicals za kichina..nmesahau jina kidogo..unapaka hiyo dawa kwenye kitambaa..kinabadirika rangi...ila hapo unakuwa umeprint paper ya design yako..graphics kwenye karatasi then unaibandika kwenye hicho kitambaa..after some minutes frame itakuwa tayari.
Mimi ni logo designer na ushauri wangu ni huu: Maeneo mengi ktk mitaa ya miji yt utawakuta signwriters wanajishughulisha na screen printing. Kama unaishi Dar kuna ofisi nyingi kariakoo zinajihusisha specifically na kazi hizi. Zipo pia M'nyamala nk. Kazi hii inataka mafunzo Kwa vitendo Kwa sababu inahitaji usafi na umakini Mkubwa sn. Tembelea ofisi Kama hizo (uwe tayari kulipia tuition fee) ili upate kujifunza vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.