Kwema humu Jf,
Mimi ni wa kiume miaka 27 nataka kuwa na mchumba police ila nadhindwa kabisa kuwatongoza japo huwa nawatamani sana maana najuwa mambo yangu mengine yatapata solution.
Sasa nilikuwa naomba ni njia gani za kumtongoza police wa kike hadi akukubali uwe wake maana kuna mmoja nilimtongoza huwa namkuta barabarani akaniambia haiwezekani baada ya kumganda sana akasema ataniweka Central Police kama siku tatu hivi ili niache kumfuatilia.
Sasa nilikuwa naomba njia za kumtongoza hadi akubali kirahisi