Msaada jinsi ya kupata materials mtandaoni

Nizzoh824

JF-Expert Member
Apr 27, 2016
239
140
Habari zenu wakuu

Kama title inavyo sema naomba msaada kidogo jinsi yakupata material mtandaon kama past papers na notes especialy advance level, kama kuna website nisaidie. Nihayo tu
Asubuh njema wapendwa.
 
Salama Mkuu.

Kwa material ya hapa Bongo, pamoja na Past papers tembelea Play Store na pakua application ya THL. Inasaidia kwa kiasi chake.
 
Back
Top Bottom