Wadau naomba msaada wa jinsi ya kuondoa tangazo la whatsapp ambalo limekuwa likijitokeza mara kwa mara ninapowasha data kwenye simu yangu. Tangazo hili linaniambia nitumie version ya whatsapp wanayotumia wengine. Tangazo hili lina options mbili ambazo ni ku-cancel au "get it", mbaya zaidi hata ukili-download linaendelea ku-pop up na ukili-cancel bado linaendelea kurudia.
Tafadhali kama kuna mtu amenielewa na anaweza kunisaidia afanye hivyo.
Tafadhali kama kuna mtu amenielewa na anaweza kunisaidia afanye hivyo.