Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,290
Wakuu naomba mnisaidie
tunatumia command gani kuscan flash yenye virus?
Kuna flash yangu ilikuwa na virus yaani ilikuwa na mafile ila yalikuwa hayaonekani yalikuwa yanatokea kama shortcut ya folder!
Kuna jamaa akatumia command prompt kuondoa hiyo hali ila sikupata muda wa kumuuliza na pia kipindi hicho nilikuwa sina uelewa wowote wa haya mambo so sikumuuliza!
Sasa hivi nina uwezo wa kwenda hadi kwenye flash kwa kutumia commands ila nikifika pale sijui nitumie command gani!
Nisaidieni!
Naomba mnisaidie