mtoto1980
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 534
- 517
VET....utawajuwa tu wanapenda kutaja Spears balaaa.Accerelator naona umefurahi sasaMOTO ndio kifaa gan kwenye gari?
VET....utawajuwa tu wanapenda kutaja Spears balaaa.Accerelator naona umefurahi sasaMOTO ndio kifaa gan kwenye gari?
Tatizo lenu mnakaririshwa sana "eti ukijua kubalance clutch na moto umemaliza kazi"Yeah akili ni moto na clutch tu kubalance ukifaulu hapo kazi kwisha.
Sio VETA unamquote mtu ambae ni taaluma yake kuanzia matengenezo ya hio gari hadi kuendesha,ukisikia jua kali ni sisi hatuongelei theory hapaVET....utawajuwa tu wanapenda kutaja Spears balaaa.Accerelator naona umefurahi sasa
Kweli tupuhakuna kitu kigumu kama ukiamua kujifunza na kuamua kuweka juhudi kuelewa...