Vitu 6 usivyotakiwa kufanya wakati unaendesha gari ya manual "manual Transmission car"

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,911
6,708
Kuendesha gari la manual sio ngumu sana kama baadhi ya watu wanavyodhani, linapokuja suala la kuendesha gari la manual ni mchanganyiko wa usanii na sayansi ya mikono na miguu kwa pamoja. Save hio.

Nb...

Pale unapoendesha gari ya manual ile gear lever inawezekana ikawa kama kitu kigumu kwako, lakini unapoizoea ni kitu cha kufurahisha na starehe kucheza nacho hasa unapokuwa barabarani.
Kuna baadhi ya mambo ya kuzingitia kabla au hata baada ya kujua kuendesha gari ya manual ili kujiweka salama barabarani na kukilinda chombo chako.

(i)Kamwe usitumie gear lever kama egesho la mkono wako.

Tunaiona gear lever na kuitumia bila kujua nini kinafanyika nyuma ya pazia,pale tunapotumia gear lever kubadilisha gear,selector fork ambayo huwa haizunguki huwa inakandamizwa kwenye collar inayozunguka na ile collar huwa inagandamizwa kwenye gear plate unayotaka kubadilisha.
Hivyo kuweka mkono kwenye gear lever kwa muda mrefu kunasababisha kusagika kwa ile selector fork taratibu na kupunguza urefu wa maisha yake.
Save hio.

(ii)Usikanyage Clutch wakati gari linapoteremka kwenye mteremko ili kuongeza mwendo.

Nb..

Kukanyaga clutch wakati gari linateremka kwa kasi mteremkoni sio jambo la kufanya wakati unaendesha gari la manual,hii itachangia sana kusaga baadhi ya maeneo katika mfumo wa gear wa gari lako pia itapelekea gari lako kukosa balance wakati wa kushuka katika mteremko.
Cha kuzingatia ni makadirio ya mwendokasi,gear uliyopo na muda wa kuachia clutch husika.
Save hio.

(iii) Usiweke mguu wako muda wote juu ya pedeli ya Clutch.

Kuweka mguu wako muda wote kwenye pedeli ya clutch kutaifanya clutch yako kuengage partially na kusababisha kuteleza kwa clutch kila mara,hii inapelekea kusagika kwa clutch na muda mwingine kunapelekea kupoteza kiasi kikubwa cha mafuta kwa sababu ya kupoteza transimission energy kubwa.
Save hio.

(iv)Usikanyage pedeli ya Accelerator mpaka mwisho pale unapokuwa kwenye gear ndogo.

Kukanyaga pedeli ya Accelerator {mafuta} mpaka mwisho pale gari lako linapokuwa katika mwendo mdogo sio vizuri kwa sababu kutapelekea kutumia kiasi kikubwa cha mafuta bila sababu. Unashauriwa kukanyaga pedeli yako ya mafuta mpaka mwisho pale tu unapokuwa katika gear za kasi ili kulifanya gari lako litembee katika mwendokasi mkubwa.
Save hio.

(v)Usibadili Gear bila kukanyaga clutch.

Clutch inasaidia kutenganisha injini na gear box kila muda inapokanyagwa,ni muhimu kukanyaga clutch kwanza kabla ya kujaribu kubadili gear yoyote ili kuipa maisha marefu gear box yako. Clutch Unit hutumika kusafirisha mzunguko wa injini kutoka kwenye injini kwenda kwenye transmission.

(vi)Usibane brake wakati wa kusimama bila ya kukanyaga Clutch.

Wakati unapotaka kusimama ni muhimu sana kukanyaga clutch. Cha kuzingatia hapa ni muda wa kubana clutch, jaribu kupunguza mwendo mpaka pale unapoona sasa unahitaji kusimama na hapo unaruhisiwa kukanyaga clutch na kulifanya gari lako kusimama.

Kumbuka Clutch ni kila kitu linapokuja suala la gari za manual,hivyo hakikisha umepata mafunzo ya kutosha kabla ya kuanza kutumia gari la manual katika barabara kuu.
Kwa kuongezea tu.
Unashauriwa vitu vitatu uvijue kabla hujaanza kuendesha gari la manual.
Cha kwanza ujue kazi ya gia box katika gari.

Chapili ujue engine na gia box zinafanyaje kazi,ushikaji wake upoje na mwisho

ujue clutch ni nini na inalindaje urafiki wa engine na gia box.
 
Well done.

Nimeanza kuendesha gari mwaka 2001.

Mpaka leo katika harakati zangu sijawahi kuendesha Automatic (ni jambo la kushangaza kidogo).

Kuendesha manual ni raha sana, Pia ni rahisi kupangilia matumizi ya mafuta.

Kwa utafiti wangu usio rasmi madereva wengi wanaoendesha gari za manual wanaulewa mkubwa wa magari yao kuliko wale wa automatic.
 
Kufikia 2030 tuna mpango wa kuondoa magari yote madogo ya manual ya kutembelea sokoni.
 
Hiki kigari changu ni manual kinanipa raha hatari (usiangalie number plate nimeshaibadili kuwa ya bongo)
FSGXSV5.jpg
 
Kuna mazingira yanatokea ili usikatishe safari inabidi kuingiza gia kavu bila kugusa clutch. Hapa ni mwendo wa kucheza na rpm tu ndio unavua na kuvesha gia kavu kavu.
 
Back
Top Bottom